Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 11 - الأحزَاب - Page - Juz 21
﴿هُنَالِكَ ٱبۡتُلِيَ ٱلۡمُؤۡمِنُونَ وَزُلۡزِلُواْ زِلۡزَالٗا شَدِيدٗا ﴾
[الأحزَاب: 11]
﴿هنالك ابتلي المؤمنون وزلزلوا زلزالا شديدا﴾ [الأحزَاب: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Katika msimamo huo mgumu, Imani za Waumini zilijaribiwa na watu wakakaguliwa, na akajulikana mnafiki kwa kutengwa na Muumini, na wakasukikasukika msukosuko mkali kwa kuingiwa na kicho na babaiko, ili Imani yao ibainike na yakini yao izidi |