×

Na ikiwa mnamtaka Mwenyezi Mungu na Mtume wake na nyumba ya Akhera, 33:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:29) ayat 29 in Swahili

33:29 Surah Al-Ahzab ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 29 - الأحزَاب - Page - Juz 21

﴿وَإِن كُنتُنَّ تُرِدۡنَ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥ وَٱلدَّارَ ٱلۡأٓخِرَةَ فَإِنَّ ٱللَّهَ أَعَدَّ لِلۡمُحۡسِنَٰتِ مِنكُنَّ أَجۡرًا عَظِيمٗا ﴾
[الأحزَاب: 29]

Na ikiwa mnamtaka Mwenyezi Mungu na Mtume wake na nyumba ya Akhera, basi Mwenyezi Mungu amewaandalia wafanyao mema, miongoni mwenu, malipo makubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن كنتن تردن الله ورسوله والدار الآخرة فإن الله أعد للمحسنات منكن, باللغة السواحيلية

﴿وإن كنتن تردن الله ورسوله والدار الآخرة فإن الله أعد للمحسنات منكن﴾ [الأحزَاب: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na mkiwa mnataka radhi ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na yale aliyowaandalia Mwenyezi Mungu katika Nyumba ya Akhera, basi vumilieni juu ya hali mliyonayo, na mtiini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, kwani hakika Mwenyezi Mungu Amewaandalia walio wema katika nyinyi malipo makubwa.» (Na walimchagua Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na yale Aliyowaandalia Mwenyezi Mungu katika Nyumba ya Akhera)
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek