×

Hakika wanao muudhi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Mwenyezi Mungu amewalaani duniani 33:57 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:57) ayat 57 in Swahili

33:57 Surah Al-Ahzab ayat 57 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 57 - الأحزَاب - Page - Juz 22

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ يُؤۡذُونَ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥ لَعَنَهُمُ ٱللَّهُ فِي ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِ وَأَعَدَّ لَهُمۡ عَذَابٗا مُّهِينٗا ﴾
[الأحزَاب: 57]

Hakika wanao muudhi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Mwenyezi Mungu amewalaani duniani na Akhera, na amewaandalia adhabu ya kufedhehi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين يؤذون الله ورسوله لعنهم الله في الدنيا والآخرة وأعد لهم, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين يؤذون الله ورسوله لعنهم الله في الدنيا والآخرة وأعد لهم﴾ [الأحزَاب: 57]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika ya wale wanaomuudhi Mwenyezi Mungu kwa kumshirikisha na kufanya maasia mengine, na wakamuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa maneno na vitendo, Mwenyezi Mungu atawafukuza na Atawaweka mbali na kheri duniani na Akhera, na Amewaandalia, huko Akhera, adhabu kali yenye kuwadhalilisha na kuwafanya wanyonge
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek