×

Sema: Nyinyi hamtaulizwa kwa makosa tuliyo yafanya, wala sisi hatutaulizwa kwa mnayo 34:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Saba’ ⮕ (34:25) ayat 25 in Swahili

34:25 Surah Saba’ ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 25 - سَبإ - Page - Juz 22

﴿قُل لَّا تُسۡـَٔلُونَ عَمَّآ أَجۡرَمۡنَا وَلَا نُسۡـَٔلُ عَمَّا تَعۡمَلُونَ ﴾
[سَبإ: 25]

Sema: Nyinyi hamtaulizwa kwa makosa tuliyo yafanya, wala sisi hatutaulizwa kwa mnayo yatenda nyinyi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل لا تسألون عما أجرمنا ولا نسأل عما تعملون, باللغة السواحيلية

﴿قل لا تسألون عما أجرمنا ولا نسأل عما تعملون﴾ [سَبإ: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, «Hamtaulizwa kuhusu dhambi zetu, wala hatutaulizwa kuhusu matendo yenu, sababu sisi tumejitenga na nyinyi na ukanushaji wenu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek