Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 35 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَقَالُواْ نَحۡنُ أَكۡثَرُ أَمۡوَٰلٗا وَأَوۡلَٰدٗا وَمَا نَحۡنُ بِمُعَذَّبِينَ ﴾
[سَبإ: 35]
﴿وقالوا نحن أكثر أموالا وأولادا وما نحن بمعذبين﴾ [سَبإ: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema, «Sisi ni wengi zaidi wa mali na watoto, na Mwenyezi Mungu hakutupa neema hizi isipokuwa ni kuwa anaridhika na sisi, na sisi si wenye kuadhibiwa duniani wala Akhera.» |