Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 34 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَمَآ أَرۡسَلۡنَا فِي قَرۡيَةٖ مِّن نَّذِيرٍ إِلَّا قَالَ مُتۡرَفُوهَآ إِنَّا بِمَآ أُرۡسِلۡتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ ﴾
[سَبإ: 34]
﴿وما أرسلنا في قرية من نذير إلا قال مترفوها إنا بما أرسلتم﴾ [سَبإ: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatukutumiliza Mtume yoyote katika mji wowote alinganie kwenye kumwahidisha Mwenyezi Mungu na kumpwekesha katika ibada, isipokuwa wale wenye kuvama kwenye starehe na matamanio miongoni mwa watu wake huwa wakisema, «Hakika sisi kwa haya mliokuja nayo, enyi Mitume, ni wenye kukanusha.» |