Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 38 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَٱلَّذِينَ يَسۡعَوۡنَ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مُعَٰجِزِينَ أُوْلَٰٓئِكَ فِي ٱلۡعَذَابِ مُحۡضَرُونَ ﴾
[سَبإ: 38]
﴿والذين يسعون في آياتنا معاجزين أولئك في العذاب محضرون﴾ [سَبإ: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale wanaokimbilia kuzibatilisha hoja zetu na wanaozuia njia ya Mwenyezi Mungu isifuatwe wakiwa wapinzani na washindani, hawa wataingia ndani ya adhabu ya Jahanamu Siku ya Kiyama, watahudhuriwa na Zabāniyah, ambao ni askari wa Motoni, na hawatatoka humo |