×

Na wakikukanusha, basi walikwisha kanushwa Mitume kabla yako. Na mambo yote yatarudishwa 35:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah FaTir ⮕ (35:4) ayat 4 in Swahili

35:4 Surah FaTir ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 4 - فَاطِر - Page - Juz 22

﴿وَإِن يُكَذِّبُوكَ فَقَدۡ كُذِّبَتۡ رُسُلٞ مِّن قَبۡلِكَۚ وَإِلَى ٱللَّهِ تُرۡجَعُ ٱلۡأُمُورُ ﴾
[فَاطِر: 4]

Na wakikukanusha, basi walikwisha kanushwa Mitume kabla yako. Na mambo yote yatarudishwa kwa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن يكذبوك فقد كذبت رسل من قبلك وإلى الله ترجع الأمور, باللغة السواحيلية

﴿وإن يكذبوك فقد كذبت رسل من قبلك وإلى الله ترجع الأمور﴾ [فَاطِر: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na watu wako wakikukanusha, ewe Mtume, kwa hakika wamekanushwa Mitume kabla yako wewe. Na kwa Mwenyezi Mungu mambo yanaishia huko Akhera, basi hapo Atamlipa kila mmoja anachostahili. Katika hii pana kumliwaza Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek