Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 15 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿قَالُواْ مَآ أَنتُمۡ إِلَّا بَشَرٞ مِّثۡلُنَا وَمَآ أَنزَلَ ٱلرَّحۡمَٰنُ مِن شَيۡءٍ إِنۡ أَنتُمۡ إِلَّا تَكۡذِبُونَ ﴾
[يسٓ: 15]
﴿قالوا ما أنتم إلا بشر مثلنا وما أنـزل الرحمن من شيء إن﴾ [يسٓ: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa kijiji wakasema kuwaambia wajumbe, «Hamkuwa nyinyi isipokuwa ni watu mfano wetu sisi, na Mwenyezi Mungu Hakuteremsha wahyi wowote. Na hamkuwa nyinyi isipokuwa mnasema urongo.» |