Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 30 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿يَٰحَسۡرَةً عَلَى ٱلۡعِبَادِۚ مَا يَأۡتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[يسٓ: 30]
﴿ياحسرة على العباد ما يأتيهم من رسول إلا كانوا به يستهزئون﴾ [يسٓ: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni hasara iliyoje na majuto yalioje ya waja Siku ya Kiyama watakapoiona adhabu! Hawajiwi na mtume yoyote kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, isipokuwa huwa wakimfanyia shere na maskhara |