Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 29 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿إِن كَانَتۡ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ فَإِذَا هُمۡ خَٰمِدُونَ ﴾
[يسٓ: 29]
﴿إن كانت إلا صيحة واحدة فإذا هم خامدون﴾ [يسٓ: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakukuwa kule kuangamizwa kwao isipokua ni kwa ukelele mmoja, wakitahamaki wao wamekufa, hakuna chochote kilichosalia katika wao |