Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 76 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿فَلَا يَحۡزُنكَ قَوۡلُهُمۡۘ إِنَّا نَعۡلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعۡلِنُونَ ﴾
[يسٓ: 76]
﴿فلا يحزنك قولهم إنا نعلم ما يسرون وما يعلنون﴾ [يسٓ: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi kusikutie huzuni, ewe Mtume, kule kumkufuru kwao Mwenyezi Mungu na kukukanusha wewe na kukufanyia shere. Hakika sisi tunayajua wanayoyaficha na wanayoyadhihirisha, na tutawalipa kwa hayo |