Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 75 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿لَا يَسۡتَطِيعُونَ نَصۡرَهُمۡ وَهُمۡ لَهُمۡ جُندٞ مُّحۡضَرُونَ ﴾
[يسٓ: 75]
﴿لا يستطيعون نصرهم وهم لهم جند محضرون﴾ [يسٓ: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waungu hao hawawezi kuwasaidia wenye kuwaabudu wala kujisaidia wao wenyewe. Na washirikina pamoja na waungu wao wote watahudhurishwa kwenye adhabu, wakiwa baadhi yao wanajitenga na wengine |