Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 79 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿قُلۡ يُحۡيِيهَا ٱلَّذِيٓ أَنشَأَهَآ أَوَّلَ مَرَّةٖۖ وَهُوَ بِكُلِّ خَلۡقٍ عَلِيمٌ ﴾
[يسٓ: 79]
﴿قل يحييها الذي أنشأها أول مرة وهو بكل خلق عليم﴾ [يسٓ: 79]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwambie, «Atakaye kuihuisha ni Yule Aliyeiumba mara ya kwanza, na Yeye kwa viumbe vyake vyote ni Mjuzi, hakifichamani Kwake yeye kitu chochote |