Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 78 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَضَرَبَ لَنَا مَثَلٗا وَنَسِيَ خَلۡقَهُۥۖ قَالَ مَن يُحۡيِ ٱلۡعِظَٰمَ وَهِيَ رَمِيمٞ ﴾
[يسٓ: 78]
﴿وضرب لنا مثلا ونسي خلقه قال من يحيي العظام وهي رميم﴾ [يسٓ: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mkanushaji Kufufuliwa alitupigia mfano usiofaa kupigwa, nao ni kulinganisha uweza wa Muumba na ule wa muumbwa, na akasahau kulianzaje kule kuumbwa kwake. Alisema, «Ni nani mwenye kuhuisha mifupa iliyochakaa na kumumunyuka |