×

Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu 36:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ya-Sin ⮕ (36:8) ayat 8 in Swahili

36:8 Surah Ya-Sin ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 8 - يسٓ - Page - Juz 22

﴿إِنَّا جَعَلۡنَا فِيٓ أَعۡنَٰقِهِمۡ أَغۡلَٰلٗا فَهِيَ إِلَى ٱلۡأَذۡقَانِ فَهُم مُّقۡمَحُونَ ﴾
[يسٓ: 8]

Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنا جعلنا في أعناقهم أغلالا فهي إلى الأذقان فهم مقمحون, باللغة السواحيلية

﴿إنا جعلنا في أعناقهم أغلالا فهي إلى الأذقان فهم مقمحون﴾ [يسٓ: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika sisi tumewafanya hawa makafiri, ambao walionyeshwa haki wakaikataa na wakawa wakakamavu kushikilia ukafiri na kuacha kuamini, ni kama wale waliofungwa pingu shingoni mwao, ikakusanywa pamoja mikono yao pamoja na shingo zao chini ya videvu vyao, wakalazimika kuinua juu vichwa vyao. Basi wao wamefungwa na kuepushwa na kila kheri, hawaioni haki wala hawaongoki kuifuata
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek