Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 7 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿لَقَدۡ حَقَّ ٱلۡقَوۡلُ عَلَىٰٓ أَكۡثَرِهِمۡ فَهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[يسٓ: 7]
﴿لقد حق القول على أكثرهم فهم لا يؤمنون﴾ [يسٓ: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika imeshapasa adhabu juu ya wengi wa hawa makafiri, baada ya kuonyeshwa haki wakaikataa, kwa kuwa hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Mtume Wake wala hawafuati Sheria Zake kivitendo |