Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 101 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَبَشَّرۡنَٰهُ بِغُلَٰمٍ حَلِيمٖ ﴾
[الصَّافَات: 101]
﴿فبشرناه بغلام حليم﴾ [الصَّافَات: 101]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamkubalia ombi lake na tukambashiria kuwa atapata mtoto wa kiume atakayekuwa mpole ukubwani mwake, naye ni Ismā'īl |