×

Hebu waulize: Je! Wao ni wenye umbo gumu zaidi au hao wengine 37:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:11) ayat 11 in Swahili

37:11 Surah As-saffat ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 11 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿فَٱسۡتَفۡتِهِمۡ أَهُمۡ أَشَدُّ خَلۡقًا أَم مَّنۡ خَلَقۡنَآۚ إِنَّا خَلَقۡنَٰهُم مِّن طِينٖ لَّازِبِۭ ﴾
[الصَّافَات: 11]

Hebu waulize: Je! Wao ni wenye umbo gumu zaidi au hao wengine tulio waumba. Hakika Sisi tuliwaumba wao kwa udongo unao nata

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاستفتهم أهم أشد خلقا أم من خلقنا إنا خلقناهم من طين لازب, باللغة السواحيلية

﴿فاستفتهم أهم أشد خلقا أم من خلقنا إنا خلقناهم من طين لازب﴾ [الصَّافَات: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi waulize, ewe Mtume, wenye kukanusha Kufufuliwa: Je kuumbwa kwao ni kugumu zaidi au ni hivyi viumbe tulivyoviumba? Kwa hakika, tulimuumba baba yao Ādam kwa udongo ulioshikana na kuambatana
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek