Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 127 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَكَذَّبُوهُ فَإِنَّهُمۡ لَمُحۡضَرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 127]
﴿فكذبوه فإنهم لمحضرون﴾ [الصَّافَات: 127]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa Ilyas walimkanusha Nabii wao. Basi Mwenyezi Mungu , kwa hakika, Atawakusanya Siku ya Kiyama ili wahesabiwe na wateswe |