Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 149 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَٱسۡتَفۡتِهِمۡ أَلِرَبِّكَ ٱلۡبَنَاتُ وَلَهُمُ ٱلۡبَنُونَ ﴾
[الصَّافَات: 149]
﴿فاستفتهم ألربك البنات ولهم البنون﴾ [الصَّافَات: 149]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi waulize watu wako, ewe Mtume, «Ni vipi wamemfanya Mwenyezi Mungu ana watoto wa kike ambao wao wenyewe wanawachukia, na wao wana watoto wa kiume wanaowataka?» |