Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 148 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَـَٔامَنُواْ فَمَتَّعۡنَٰهُمۡ إِلَىٰ حِينٖ ﴾
[الصَّافَات: 148]
﴿فآمنوا فمتعناهم إلى حين﴾ [الصَّافَات: 148]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakamuamini na wakafuata aliyokuja nayo kivitendo, na kwa hivyo tukawastarehesha maishani mwao mpaka wakati wa kufika ajali zao |