Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 21 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿هَٰذَا يَوۡمُ ٱلۡفَصۡلِ ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ﴾
[الصَّافَات: 21]
﴿هذا يوم الفصل الذي كنتم به تكذبون﴾ [الصَّافَات: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo wataambiwa, «Hii ndiyo Siku ya Uamuzi wa haki baina ya viumbe, ambayo mlikuwa mkiikanusha duniani na mkiikataa.» |