Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 54 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالَ هَلۡ أَنتُم مُّطَّلِعُونَ ﴾
[الصَّافَات: 54]
﴿قال هل أنتم مطلعون﴾ [الصَّافَات: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atasema huyu Muumini aliyetiwa Peponi akiwaambia wenzake, «Je, nyinyi ni wenye kuchungulia mpate kuona mwisho wa yule rafiki?» |