Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 95 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالَ أَتَعۡبُدُونَ مَا تَنۡحِتُونَ ﴾
[الصَّافَات: 95]
﴿قال أتعبدون ما تنحتون﴾ [الصَّافَات: 95]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ibrāhīm akakutana na wao akiwa imara kwa kusema, «Vipi mtaabudu masanamu mnaowachonga nyinyi wenyewe na mnaowatengeneza kwa mikono yenu |