Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 31 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِذۡ عُرِضَ عَلَيۡهِ بِٱلۡعَشِيِّ ٱلصَّٰفِنَٰتُ ٱلۡجِيَادُ ﴾
[صٓ: 31]
﴿إذ عرض عليه بالعشي الصافنات الجياد﴾ [صٓ: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kumbuka pindi walipoorodheshwa mbele yake kipindi cha alasiri farasi wa asili wenye kasi za kukimbia, waliosimama kwa miguu mitatu na kuinua mguu wa nne kwa kuwa ni farasi bora na wapesi. Waliendelea kuorodheshwa mbele yake mpaka jua likachwa |