Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 37 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَٱلشَّيَٰطِينَ كُلَّ بَنَّآءٖ وَغَوَّاصٖ ﴾
[صٓ: 37]
﴿والشياطين كل بناء وغواص﴾ [صٓ: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukamdhalilishia Mashetani, akawa anawatumia katika kazi zake. Katika wao kulikuwa na wajenzi na wazamiaji baharini |