Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 36 - صٓ - Page - Juz 23
﴿فَسَخَّرۡنَا لَهُ ٱلرِّيحَ تَجۡرِي بِأَمۡرِهِۦ رُخَآءً حَيۡثُ أَصَابَ ﴾
[صٓ: 36]
﴿فسخرنا له الريح تجري بأمره رخاء حيث أصاب﴾ [صٓ: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamkubalia maombi yake na tukamdhalilishia upepo ukawa unapita kwa amri yake ukiwa mtiifu kwake, hali ya kuwa na nguvu na kasi, ukielekea pale anapotaka |