×

BASI NI NANI dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye msingizia uwongo Mwenyezi Mungu 39:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:32) ayat 32 in Swahili

39:32 Surah Az-Zumar ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 32 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿۞ فَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّن كَذَبَ عَلَى ٱللَّهِ وَكَذَّبَ بِٱلصِّدۡقِ إِذۡ جَآءَهُۥٓۚ أَلَيۡسَ فِي جَهَنَّمَ مَثۡوٗى لِّلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[الزُّمَر: 32]

BASI NI NANI dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye msingizia uwongo Mwenyezi Mungu na kuikanusha kweli imfikiapo? Je! Siyo katika Jahannamu makaazi ya hao makafiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فمن أظلم ممن كذب على الله وكذب بالصدق إذ جاءه أليس في, باللغة السواحيلية

﴿فمن أظلم ممن كذب على الله وكذب بالصدق إذ جاءه أليس في﴾ [الزُّمَر: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna yoyote dhalimu zaidi kuliko yule aliyemzulia Mwenyezi Mungu urongo, kwa kumnasibishia sifa isiyofaa kusifika nayo, kama vile kuwa na mshirika na mtoto, au akasema, «Mimi nimeletewa wahyi,» na hali yeye hakuletewa wahyi wa kitu chochote. Na hakuna dhalimu zaidi kuliko yule aliyeikanusha haki iliyoteremka kwa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Kwani si yako huko Motoni mashukio na makazi kwa waliomkufuru Mwenyezi Mungu na wasimuamini Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie? Ndio, yako
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek