Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 37 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿وَمَن يَهۡدِ ٱللَّهُ فَمَا لَهُۥ مِن مُّضِلٍّۗ أَلَيۡسَ ٱللَّهُ بِعَزِيزٖ ذِي ٱنتِقَامٖ ﴾
[الزُّمَر: 37]
﴿ومن يهد الله فما له من مضل أليس الله بعزيز ذي انتقام﴾ [الزُّمَر: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yoyote yule ambaye Mwenyezi Mungu Amemuafikia kumuamini Yeye na kufanya matendo yanayoambatana na Kitabu Chake na kumfuata Mtume Wake, basi huyo hana mwenye kumpoteza na kumpotosha na haki ambayo amesimama nayo. Kwani Mwenyezi Mungu si Mshindi katika kuwatesa viumbe Wake waliomkufuru na wale waliomuasi |