×

Ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya 39:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:40) ayat 40 in Swahili

39:40 Surah Az-Zumar ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 40 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿مَن يَأۡتِيهِ عَذَابٞ يُخۡزِيهِ وَيَحِلُّ عَلَيۡهِ عَذَابٞ مُّقِيمٌ ﴾
[الزُّمَر: 40]

Ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya daima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من يأتيه عذاب يخزيه ويحل عليه عذاب مقيم, باللغة السواحيلية

﴿من يأتيه عذاب يخزيه ويحل عليه عذاب مقيم﴾ [الزُّمَر: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mtajua ni yupi atakayejiwa na adhabu yenye kumfanya mnyonge katika maisha ya ulimwenguni na atakayeshukiwa na adhabu ya daima kesho Akhera, haitamuepuka wala haitamuondokea
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek