Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 39 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿قُلۡ يَٰقَوۡمِ ٱعۡمَلُواْ عَلَىٰ مَكَانَتِكُمۡ إِنِّي عَٰمِلٞۖ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[الزُّمَر: 39]
﴿قل ياقوم اعملوا على مكانتكم إني عامل فسوف تعلمون﴾ [الزُّمَر: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, uwaambie watu wako wenye ukaidi, «Fanyeni matendo kwa namna inayoridhisha nafsi zenu, kwa kuwa mmemuabudu asiyestahiki kuabudiwa na asiye na amri ya jambo lolote. Mimi ni mwenye kufanya yale niliyoamrishwa ya kuelekea kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake katika maneno yangu na vitendo vyangu |