×

Na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na 39:47 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:47) ayat 47 in Swahili

39:47 Surah Az-Zumar ayat 47 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 47 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿وَلَوۡ أَنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُواْ مَا فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا وَمِثۡلَهُۥ مَعَهُۥ لَٱفۡتَدَوۡاْ بِهِۦ مِن سُوٓءِ ٱلۡعَذَابِ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۚ وَبَدَا لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مَا لَمۡ يَكُونُواْ يَحۡتَسِبُونَ ﴾
[الزُّمَر: 47]

Na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na pamoja navyo vingine kama hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo Siku ya Kiyama. Na yatawadhihirikia kwa Mwenyezi Mungu wasiyo kuwa wakiyatarajia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو أن للذين ظلموا ما في الأرض جميعا ومثله معه لافتدوا به, باللغة السواحيلية

﴿ولو أن للذين ظلموا ما في الأرض جميعا ومثله معه لافتدوا به﴾ [الزُّمَر: 47]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau hao wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu wangalikuwa nacho kila kilichoko kwenye ardhi miongoni mwa mali, vitu vya thamani na vingine mfano wake pamoja navyo kuongezea, wangalikitoa Siku ya Kiyama ili wajikomboe kwacho na adhabu mbaya. Na lau wangalikitoa na wakataka kujikomboa kwacho hakingalikubaliwa kutoka kwao na hakingaliwafalia kitu chochote kuwaepushia adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na itawadhihirikia wao Siku hiyo amri ya Mwenyezi Mungu na adhabu Yake wasizokuwa wakizidhania duniani kuwa zitawashukia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek