×

Na utawadhihirikia ubaya wa waliyo yachuma, yatawazunguka waliyo kuwa wakiyafanyia mzaha 39:48 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:48) ayat 48 in Swahili

39:48 Surah Az-Zumar ayat 48 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 48 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿وَبَدَا لَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا كَسَبُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[الزُّمَر: 48]

Na utawadhihirikia ubaya wa waliyo yachuma, yatawazunguka waliyo kuwa wakiyafanyia mzaha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وبدا لهم سيئات ما كسبوا وحاق بهم ما كانوا به يستهزئون, باللغة السواحيلية

﴿وبدا لهم سيئات ما كسبوا وحاق بهم ما كانوا به يستهزئون﴾ [الزُّمَر: 48]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na yatawadhihirikia hao wakanushaji, Siku ya kuhesabiwa, malipo ya maovu yao waliyoyatenda, kwa kuwa walimnasibishia Mwenyezi Mungu sifa isiyolingana na Yeye, na wakafanya maasia katika maisha yao, na itawazunguka adhabu kali kila upande ikiwa ni mateso kwao kwa kulifanyia shere onyo la adhabu ambayo Mtume alikuwa akiwaahidi kuwa itawapata wakawa hawaitii maanani
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek