×

Na dhara inapo mgusa mtu hutuomba. Kisha tunapo mpa neema zitokazo kwetu, 39:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:49) ayat 49 in Swahili

39:49 Surah Az-Zumar ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 49 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿فَإِذَا مَسَّ ٱلۡإِنسَٰنَ ضُرّٞ دَعَانَا ثُمَّ إِذَا خَوَّلۡنَٰهُ نِعۡمَةٗ مِّنَّا قَالَ إِنَّمَآ أُوتِيتُهُۥ عَلَىٰ عِلۡمِۭۚ بَلۡ هِيَ فِتۡنَةٞ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الزُّمَر: 49]

Na dhara inapo mgusa mtu hutuomba. Kisha tunapo mpa neema zitokazo kwetu, husema: Nimepewa haya kwa sababu ya ilimu yangu. Sio! Huo ni mtihani! Lakini wengi wao hawajui

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإذا مس الإنسان ضر دعانا ثم إذا خولناه نعمة منا قال إنما, باللغة السواحيلية

﴿فإذا مس الإنسان ضر دعانا ثم إذا خولناه نعمة منا قال إنما﴾ [الزُّمَر: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ikimpata mwanadamu shida na madhara humuomba Mola wake amuondolee, na tunapomuondolea yaliyompata na tukampa neema kutoka kwetu hurudi kumkanusha Mola wake na kukataa wema Wake na huwa akisema, «Haya niliyopewa yatokamana na ujuzi wa Mwenyezi Mungu kuwa mimi ninafaa na ninastahiki kuyapata. Bali huo ni mtihani wa Mwenyezi Mungu kuwatahini waja Wake, ili Atazame ni yupi anayemshukuru kwa kumtenga na anayemkanusha. Lakini wengi wao, kwa ujinga wao na dhana zao mbaya, hawajui kuwa hayo ni mavuto kideogo-kidogo kutoka kwa Mwenyezi Mungu na ni mtihani kwao kuhusu kushukuru neema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek