Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 56 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿أَن تَقُولَ نَفۡسٞ يَٰحَسۡرَتَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنۢبِ ٱللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ ٱلسَّٰخِرِينَ ﴾
[الزُّمَر: 56]
﴿أن تقول نفس ياحسرتا على ما فرطت في جنب الله وإن كنت﴾ [الزُّمَر: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na mtiini Mola wenu na tubieni Kwake ili isije nafsi ikajuta na ikasema, ‘Ee hasara yangu kwa matendo mema niliyoyapoteza ulimwenguni katika yale Aliyoamrisha Mwenyezi Mungu na nikafanya kasoro katika kumtii na kutekeleza haki Yake,! Na ingawa ulimwenguni nilikuwa ni miongoni mwa waliokuwa wakiifanyia shere amri ya Mwenyezi Mungu, Kitabu Chake, Mtume Wake na waliomuamini.’ |