×

Na Siku ya Kiyama utawaona walio msingizia uwongo Mwenyezi Mungu nyuso zao 39:60 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:60) ayat 60 in Swahili

39:60 Surah Az-Zumar ayat 60 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 60 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿وَيَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ تَرَى ٱلَّذِينَ كَذَبُواْ عَلَى ٱللَّهِ وُجُوهُهُم مُّسۡوَدَّةٌۚ أَلَيۡسَ فِي جَهَنَّمَ مَثۡوٗى لِّلۡمُتَكَبِّرِينَ ﴾
[الزُّمَر: 60]

Na Siku ya Kiyama utawaona walio msingizia uwongo Mwenyezi Mungu nyuso zao zimesawijika. Je! Si katika Jahannamu makaazi ya wanao takabari

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويوم القيامة ترى الذين كذبوا على الله وجوههم مسودة أليس في جهنم, باللغة السواحيلية

﴿ويوم القيامة ترى الذين كذبوا على الله وجوههم مسودة أليس في جهنم﴾ [الزُّمَر: 60]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Siku ya Kiyama utawaona hao wakanushaji, waliomsifu Mola wao kwa sifa zisizolingana na Yeye na wakamnasibisha Yeye na mshirika na mwana, nyuso zao zimekuwa nyeusi. Si ndani ya Jahanamu kuna mashukio na makao kwa aliyemfanyia Mwenyezi Mungu kiburi akakataa kumpwekesha na kumtii? Ndio
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek