×

Itasemwa: Ingieni milango ya Jahannamu mdumu humo. Basi nayo ni ubaya ulioje 39:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:72) ayat 72 in Swahili

39:72 Surah Az-Zumar ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 72 - الزُّمَر - Page - Juz 24

﴿قِيلَ ٱدۡخُلُوٓاْ أَبۡوَٰبَ جَهَنَّمَ خَٰلِدِينَ فِيهَاۖ فَبِئۡسَ مَثۡوَى ٱلۡمُتَكَبِّرِينَ ﴾
[الزُّمَر: 72]

Itasemwa: Ingieni milango ya Jahannamu mdumu humo. Basi nayo ni ubaya ulioje wa makaazi ya wanao takabari

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قيل ادخلوا أبواب جهنم خالدين فيها فبئس مثوى المتكبرين, باللغة السواحيلية

﴿قيل ادخلوا أبواب جهنم خالدين فيها فبئس مثوى المتكبرين﴾ [الزُّمَر: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wataambiwa wale wenye kukataa kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wa haki, kwa kuwatweza na kuwadhalilisha, «Ingieni kwenye milango ya Jahanamu, hali ya kukaa humo milele.» Ni mbaya mno mwisho wa wale wanaolifanyia kiburi jambo la kumuamini Mwenyezi Mungu na kufuata kivitendo sheria Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek