Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 110 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَمَن يَعۡمَلۡ سُوٓءًا أَوۡ يَظۡلِمۡ نَفۡسَهُۥ ثُمَّ يَسۡتَغۡفِرِ ٱللَّهَ يَجِدِ ٱللَّهَ غَفُورٗا رَّحِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 110]
﴿ومن يعمل سوءا أو يظلم نفسه ثم يستغفر الله يجد الله غفورا﴾ [النِّسَاء: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mwenye kufanya tendo baya au akajidhulumu nafsi yake kwa kufanya mambo yaliyo kinyume na hukumu ya Mwenyezi Mungu na sheria Yake, kisha akarudi kwa Mwenyezi Mungu kwa kujuta kwa aliyoyafanya akitaraji Amsamehe na dhambi zake Amsitirie, basi atamkuta Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa msamaha na ni mwingi wa huruma kwake |