×

Na anaye chuma dhambi, basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu 4:111 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:111) ayat 111 in Swahili

4:111 Surah An-Nisa’ ayat 111 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 111 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿وَمَن يَكۡسِبۡ إِثۡمٗا فَإِنَّمَا يَكۡسِبُهُۥ عَلَىٰ نَفۡسِهِۦۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَلِيمًا حَكِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 111]

Na anaye chuma dhambi, basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن يكسب إثما فإنما يكسبه على نفسه وكان الله عليما حكيما, باللغة السواحيلية

﴿ومن يكسب إثما فإنما يكسبه على نفسه وكان الله عليما حكيما﴾ [النِّسَاء: 111]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenye kufanya dhambi kwa kusudi, hakika huwa akijidhuru nafsi yake peke yake. Na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, ni Mjuzi wa uhakika wa mambo ya waja Wake, ni Mwingi wa hekima katika hukumu Zake Azitowazo kwa waja Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek