×

Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata 4:27 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:27) ayat 27 in Swahili

4:27 Surah An-Nisa’ ayat 27 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 27 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿وَٱللَّهُ يُرِيدُ أَن يَتُوبَ عَلَيۡكُمۡ وَيُرِيدُ ٱلَّذِينَ يَتَّبِعُونَ ٱلشَّهَوَٰتِ أَن تَمِيلُواْ مَيۡلًا عَظِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 27]

Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke makengeuko makubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والله يريد أن يتوب عليكم ويريد الذين يتبعون الشهوات أن تميلوا ميلا, باللغة السواحيلية

﴿والله يريد أن يتوب عليكم ويريد الذين يتبعون الشهوات أن تميلوا ميلا﴾ [النِّسَاء: 27]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Anataka kuwakubalia toba zenu na kuyasamehe makosa yenu; na wale wanaofuata matamanio yao na starehe zao, wanataka mupotoke muwe kando na Dini kabisa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek