×

Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni 4:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:4) ayat 4 in Swahili

4:4 Surah An-Nisa’ ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 4 - النِّسَاء - Page - Juz 4

﴿وَءَاتُواْ ٱلنِّسَآءَ صَدُقَٰتِهِنَّ نِحۡلَةٗۚ فَإِن طِبۡنَ لَكُمۡ عَن شَيۡءٖ مِّنۡهُ نَفۡسٗا فَكُلُوهُ هَنِيٓـٔٗا مَّرِيٓـٔٗا ﴾
[النِّسَاء: 4]

Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وآتوا النساء صدقاتهن نحلة فإن طبن لكم عن شيء منه نفسا فكلوه, باللغة السواحيلية

﴿وآتوا النساء صدقاتهن نحلة فإن طبن لكم عن شيء منه نفسا فكلوه﴾ [النِّسَاء: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wapeni wanawake, enyi waume, mahari yao, kipewa kinacholazimu na faradhi iliyopasa, kwa roho yenu safi. Na iwapo zitakuwa safi nafsi zao kwenu na kuwatunuku chochote katika mahari, basi kichukueni na mkitumie mnavyotaka, kwani hicho ni halali iliyo nzuri
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek