Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 53 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿أَمۡ لَهُمۡ نَصِيبٞ مِّنَ ٱلۡمُلۡكِ فَإِذٗا لَّا يُؤۡتُونَ ٱلنَّاسَ نَقِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 53]
﴿أم لهم نصيب من الملك فإذا لا يؤتون الناس نقيرا﴾ [النِّسَاء: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, kwani wao wana fungu la utawala? Na lau walipewa, hawangalimpa yoyote kitu chochote katika hilo, hata kama ni kadiri ya kitone kilichoko kwenye koko ya tende |