Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 52 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ لَعَنَهُمُ ٱللَّهُۖ وَمَن يَلۡعَنِ ٱللَّهُ فَلَن تَجِدَ لَهُۥ نَصِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 52]
﴿أولئك الذين لعنهم الله ومن يلعن الله فلن تجد له نصيرا﴾ [النِّسَاء: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao ndio ambao umezidi uharibifu wao na umeenea upotevu wao. Mwenyezi Mungu,Aliyetukuka, Amewatoa kwenye rehema Yake. Na yoyote ambaye Mwenyezi Mungu Anamfukuza kwenye rehema Yake, hutampatia wa kumnusuru na kumuepushia adhabu mbaya |