×

Basi wapo miongoni mwao waliyo yaamini, na wapo walio yakataa. Na Jahannamu 4:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:55) ayat 55 in Swahili

4:55 Surah An-Nisa’ ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 55 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿فَمِنۡهُم مَّنۡ ءَامَنَ بِهِۦ وَمِنۡهُم مَّن صَدَّ عَنۡهُۚ وَكَفَىٰ بِجَهَنَّمَ سَعِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 55]

Basi wapo miongoni mwao waliyo yaamini, na wapo walio yakataa. Na Jahannamu yatosha kuwa ni moto wa kuwateketeza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فمنهم من آمن به ومنهم من صد عنه وكفى بجهنم سعيرا, باللغة السواحيلية

﴿فمنهم من آمن به ومنهم من صد عنه وكفى بجهنم سعيرا﴾ [النِّسَاء: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Miongoni mwa hawa ambao walipewa fungu la elimu, kuna aliyeamini ujumbe wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye na akafuata Sheria aliyokuja nayo kivitendo. Na miongoni mwao kuna aliyekengeuka na asiitike mwito wake na akawakataza watu kumfuata. Wenye kuwatosha nyinyi, enyi wenye kukanusha, ni moto wa Jahanamu ambao utawashwa kwenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek