Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 82 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ ٱلۡقُرۡءَانَۚ وَلَوۡ كَانَ مِنۡ عِندِ غَيۡرِ ٱللَّهِ لَوَجَدُواْ فِيهِ ٱخۡتِلَٰفٗا كَثِيرٗا ﴾
[النِّسَاء: 82]
﴿أفلا يتدبرون القرآن ولو كان من عند غير الله لوجدوا فيه اختلافا﴾ [النِّسَاء: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani hawa hawaiangalii Qur’ani na haki iliyokuja nayo, kwa kuitaamali na kuizingatia, namna ilivyokuja kwa utaratibu uliopangika unaomfanya mtu awe na yakini kuwa inatoka kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake? Na lau yalikuwa yatoka kwa asiyekuwa Yeye, wangalipata ndani yake tafauti kubwa |