Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 27 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَقَالَ مُوسَىٰٓ إِنِّي عُذۡتُ بِرَبِّي وَرَبِّكُم مِّن كُلِّ مُتَكَبِّرٖ لَّا يُؤۡمِنُ بِيَوۡمِ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[غَافِر: 27]
﴿وقال موسى إني عذت بربي وربكم من كل متكبر لا يؤمن بيوم﴾ [غَافِر: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mūsā akasema kumwambia Fir'awn na viongozi wa mamlaka yake, «Mimi nimeomba hifadhi kwa Mola wangu na Mola wenu, enyi watu, Anihami na kila mwenye kiburi cha kukataa kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtii, asiyeiamini Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atawahesabu viumbe Wake.» |