Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 53 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡهُدَىٰ وَأَوۡرَثۡنَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ٱلۡكِتَٰبَ ﴾
[غَافِر: 53]
﴿ولقد آتينا موسى الهدى وأورثنا بني إسرائيل الكتاب﴾ [غَافِر: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika tulimpa Mūsā Taurati na miujiza miongoni mwa vitu vinavyoongoza kwenye haki, na tukawafanya Wana wa Isrāīl warithiane Taurati: wanyuma kutoka kwa waliopita |