Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 73 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿ثُمَّ قِيلَ لَهُمۡ أَيۡنَ مَا كُنتُمۡ تُشۡرِكُونَ ﴾
[غَافِر: 73]
﴿ثم قيل لهم أين ما كنتم تشركون﴾ [غَافِر: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha waambiwe kwa kuwasimanga, na wao wako kwenye hali hii ya unguliko , «Wako wapi waungu mliokuwa mkiwaabudu |