×

Na ni nani mbora wa kusema kuliko aitaye kwa Mwenyezi Mungu na 41:33 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:33) ayat 33 in Swahili

41:33 Surah Fussilat ayat 33 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 33 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿وَمَنۡ أَحۡسَنُ قَوۡلٗا مِّمَّن دَعَآ إِلَى ٱللَّهِ وَعَمِلَ صَٰلِحٗا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ ٱلۡمُسۡلِمِينَ ﴾
[فُصِّلَت: 33]

Na ni nani mbora wa kusema kuliko aitaye kwa Mwenyezi Mungu na akatenda mema, na akasema: Hakika mimi ni katika Waislamu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن أحسن قولا ممن دعا إلى الله وعمل صالحا وقال إنني من, باللغة السواحيلية

﴿ومن أحسن قولا ممن دعا إلى الله وعمل صالحا وقال إنني من﴾ [فُصِّلَت: 33]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna yoyote aliye na kauli nzuri zaidi kuliko yule anayelingania kupwekeshwa Mwenyezi Mungu na kuuabudiwa Yeye Peke Yake, na anayesema, «Mimi ni katika Waislamu wanaofuata amri Ya Mwenyezi Mungu na Sheria Yake.» Katika aya hii kuna kusisitiza kulingania kwa Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kueleza utukufu wa wanavyuoni wenye kulingania Kwake kwa ujuzi, kulingana na yale yaliyokuja kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek